• Tukio 23 – Pezi la Papa

  • Aug 25 2009
  • Length: 15 mins
  • Podcast

Tukio 23 – Pezi la Papa

  • Summary

  • Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo wa kuteleza baharini aliyetoweka, Paula na Philipp wanakutana na mpiga mbizi na hapo wanapata fununu. Mpiga mbizi alikuwa amewahangaisha nusu ya wakazi wa Hamburg kwa kujifunga pezi la papa mgongoni mwake. Wakati huo huo Eulalia amefika Hamburg tayari kusaidia. Pia naye amegundua kitu fulani. Eulalia amepata fununu ambayo huenda ikawasaidia Paula na Philipp- fursa nzuri ya kutumia wakati timilifu. Zingatia zaidi jinsi ya kutumia wakati uliopita hali ya kwendelea.
    Show More Show Less

What listeners say about Tukio 23 – Pezi la Papa

Average Customer Ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.

In the spirit of reconciliation, Audible acknowledges the Traditional Custodians of country throughout Australia and their connections to land, sea and community. We pay our respect to their elders past and present and extend that respect to all Aboriginal and Torres Strait Islander peoples today.