Watoto Wakimuimbia Yesu: Kuwaandaa Watoto Kusifu Na Kuabudu, Kitabu cha 2 [Children Playing Jesus: Preparing Children Praise and Worship, Book 2]
Failed to add items
Add to basket failed.
Add to Wish List failed.
Remove from Wish List failed.
Follow podcast failed
Unfollow podcast failed
Buy Now for $5.99
No valid payment method on file.
We are sorry. We are not allowed to sell this product with the selected payment method
-
Narrated by:
-
Hillary Hawkins
-
By:
-
Francine E. Wade
About this listen
Wapendwa Wazazi au Walezi: Upendo wa kumsifu na kumuabudu Bwana wa mtoto wako unaanzia hapa! Kitabu hiki kimejaribiwa kwa watoto na kimekubaliwa na Mungu! Kutambua hatua ya kwanza ya ukuaji wa lugha ya mtoto wako ni sawa na ukuaji wa lugha yao ya kusifu na kuabudu.
Watoto wana uwezo wa kumsifu na kumuabudu Bwana bila yamashaka au uwalakini. Kitabu hiki kina nia ya kuwatia moyo na kuwaandaa watoto wadogo kuwa huru na kuingia kwenye ulimwengu. Wa kusifu na kuabudu kwa ufasaha. Nyimbo hizi ni rahisi kama kujifunza kuhesabu na zinaweza kufundishwa katika umri mdogo. Biblia inasema, “Mlee mtoto wako katika njia impasayo, naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.” Mithali 22:6.
Tazama jinsi mtoto wako atakavyozidi kujiamini kadri atakavyofuzu nyimbo hizi zinazojenga ukristo mwema. Unaweza pia ukakuza ukuaji wa kiroho wa mtoto wako kwa kusoma mistari ya Biblia ikielezea kila wimbo. “Maisha ya Upendo huanza na Yesu”.
Please note: This audiobook is in Swahili.
©2012 Francine E. Wade (P)2018 Francine E. Wade